Eszter Batta / Primavera
|
texte > Károly Sándor Pallai
Mapambazuko ya jioni
Kwa Evalin Karijo
Usiko wa leo wafifia haraka, katika mwangaza wa mwezi unaodidimia. Sisi, maraia wa huu ukatili kimataifa.
Tunaishi katika dunia ya karakati, ya vita
na ya danganyo. Sisi, mataifa
Sisi tu fataki ya muda mfupi mbinguni.
Sisi, watu wa macheo tete.
Siasa pengine ni bwawa janja,
lakini ukweli dhahiri rahisi.
Mwishoni wa ulimwengu, jua itameremeta?
Tunahitaji mno utakaso wa bahari kuu,
baraka ya wazee wetu,
tunakumbatia mila zetu.
Jua la karama, tuangazie sisi.
Nuru ya wetu utamaduni, sindikiza sisi.
Tunahitaji meneno ya kweli, ya upinzani,
kuipa tumaini kwa nchi yetu, kuvunja
kimya, kupenda.
Kuponya jeraha za kale.
Huu ni ushahidi wetu, hii ni hatma yetu.
Evening Sunrise
Dedicated to Evalin Karijo
Tonight is quickly fading in the lights of the dying moon. Us, citizens of this global barbary.
We live in a world of agitation, wars
and delusion. Us, nations of the world.
We’re only momentary fireworks of heaven.
Us, peoples of a fragile dawn.
Policy is sometimes a crafty swamp,
truth, however, is apparently simple.
Will the sun shine at the end of the world?
We desperately need the purification of the ocean, the blessings of our ancestors,
to embrace our traditions.
Sun of blessings, cast your light upon us.
Light of our culture, be our shepherd.
We need the words of truth, of resistance,
to give hope to our country, to break
the silence, to love.
To heal the wounds of the past.
This is our testimony, this is our fate.
No comments:
Post a Comment